but you can still .....
#TaarifaMuhimu (Updated 24/05/2022)
Wanachuo wapya mliochaguliwa kujiunga na chuo chetu mnataarifiwa kuwa chuo kitafunguliwa rasmi tarehe 13/06/2022
Masomo yataanza rasmi tarehe 20/06/2022. Hakikisha unaingia darasani kwa
tarehe hiyo bila kukosa.
Mwisho wa kuripoti chuoni ni tarehe 30/06/2022. Fomu ya maelezo ya kujiunga iliyoambatanishwa na fomu ya vipimo vya afya inapatikana kwa kubofya link iliyopo hapa chini
Asante
Joining Instructions 2022/2023